Street News Kenya

0

Barca Wako Kwa Semi-finals – Copa del Rey

Thursday, January 26, 2017 Barcelona walichapa Real Sociedad 5-2. Barcelona walifunga through Denis Suarez 17′, 82′, Messi 55′, Luis Suarez 63′, na Turan 80′ minute. Aggregate ilikuwa 6-2. Alaves, Atletico Madrid na Celta Vigo wamequalify....

0

Fixture Ya Leo Copa del Rey

Thursday, January 26, 2017 Kwa solitary fixture ya leo Copa del rey Barcelona wanameet na Real Sociedad. Barcelona wanalead na aggregate ya 1-0 after game ya first. Barcelona vs Real Sociedad 23:15

0

Industry Nite Inahappen Nakuru

Industry Nite itahappen Nakuru on 27th Friday, 2017. Event yenyewe itakuwa pale Sixty Four Lounge and Restaurant. Jua Cali ataheadline event yenyewe. Wasanii wengine ni akina C2K, Pascal Tokodi, Double Jay, Evie Vara, Musa...