Street News Kenya

0

Brand New Video Ya Collo

Collo amechomoa video ya wanga inaitwa Jijue. Kwa track yenyewe amefeature Scooby The Lazy Rapper. Feel ya video ni poa – colour grading yake ni nice. Cheki video yenyewe hapa kwa link. #Tukobiye

0

Damian Marley Anaperform Street Fusion – 31st May

Damian Marley amecome through na ataperform on Wednesday, 31st May, at Carnivore Gardens. Artists wetu wale wataperform ni akina Wyre, Khaligraph, na JuaKali. Event yenyewe inaanza 6:00 PM. Tickets unaweza get through website: www.mi-ticket.co.ke

0

Manchester United Wameshinda Europa League

Manchester United walichapa Ajax 2-0 kushinda Europa League on Wednesday. Man U walipata bao zao kupitia Paul Pogba na Henrikh Mkhitaryan. Hii inamean pia wamesecure Champions League spot. Performance ya Man U in general...