Street News Kenya

0

Comeback Ya Chiwawa

Chiwawa ni artist alichange game ya hiphop Kenya. Tulimeet na ye na akatusho plans zake za 2015 na vile sai anafeel. Chiwawa ako na double album amekua akirecord kwa mastudio kadhaa. Anasema anataka kurelease...

0

Ras Kwenye Hustle

Ras ako situated apo Ksouth market, na biz yak ni ya kumake ma vitu za kirasta, anashona ma kiatu za madesign different, na pia anamake ma necklace, pia ma ornaments kadhaa.  Wateja wake ni...

0

Kutoka Jaba Hadi Mathree Mbili

Ndech ako sao apo opposite flowers pub, amefanya biz mob na tangu aanze biz ya jaba ameget profits mwenda mbaka amebuy mathree mbili route 36 za Dandora na sacco ni East Shuttle.Ndech anapoa area...

0

Game Za Calif “Desa”

Calif ni area moja imeshikana na eastleigh na iko na grao moja famous sana ile ma youth wanatumia kukeep fit. Hii grao imekua imekua famous sababu ya ma TV adverts kibao zimefanyiwa hapo. Hapa...

0

5 scholarships that don’t demand a GPA that is fantastic This acquired;t come as stunning news: Not having a terrific GPA can disqualify you if you; re levels are significantly less than stellar. Blend...