Street News Kenya

0

Kizo B Amedrop Another Hit

Kuchi Kuchi Hit maker Kizo B amedrop another hit inaitwa Atatenda Atakayo. Hii imecome a few months after alidrop Sina Wasi Wasi which ilireceive impressive airplay na sai amerudi na hit ingine. Cheki video yake hapa.

0

Free Visual Effects Suite Imekuwa Launched

Photo:hitfilm.com Free Visual Effects Suite Imekuwa Launched Last Thursday. Company inaitwa FXHome, a British software house, ililaunch HitFilm 4 Express, a free visual effects and editing suite aimed a teenagers na young visionaries. Iko designed kuenable...

0

Amir Khan Wanafight Na Canelo Alvarez

Amir Khan Wanameet na Canelo Alvarez. Hii super-fight itachezwa May 7th usiku. Khan anamove up from welterweight kuchallenge Alvarez for middleweight title. Hii itakuwa the first boxing event in the new, state-of-the-art T-Mobile Arena on the Las...

0

Real Madrid Wamebeat Man City Kureach Finals

After goalless draw kwa first leg, Real wamechapa Man City 1 – 0 after cross ya Gareth Bale kudeflect off Fernando. Madrid walidominate after Bale kuchapa header ikihit the bar, na Joe Hart akasave...

0

Real Madrid Vs Manchester City Semi-finals

Real Madrid Vs Manchester City semi-finals, second leg. Leo usiku 9:45 PM Real watakuwa wanameet na Man City kwa semi-finals huko Bernabeu. Ronaldo according to reports amekuwa declared fit to play. “Cristiano is OK, 100%....

0

Ngori South Africa!

Protesters wamechoma chuo 13 huko South Africa, Northern Limpopo province juu ya noma ya district boundaries. Wanadai wakiekwa kwa municipality mpya itadelay mambo yao ya kupewa nyumba poa na maji.

1

Unaeza trust Robot ikudrive?

Engineers wanadai magari zitakua zinajiendesha by 2020. Google imekua ikitest mandae ziko na autodrive,ambapo ndae itakua inafuata directions kutoka google maps. Shida inventors wako nayo ni vile wataeza fanya ndae imanouvre usiku na kwa weather...

0

G-rongi Ako Stranded France

Photo:www.100scrolls.com G-rongi Ako Stranded France. Rapper wa Kenya G-rongi kutoka Ukoo Flani MauMau ako stranded France na anaseek help kutoka Kenyans. Alienda kwa Facebook page yake na akadai “I need help from Kenyans am...