Street News Kenya

0

Flood Alert For Motorists Kutoka NTSA

NTSA wameissue flood alert kwa motorist. Hizi roads ni Langata road (T-mal), Muhoho/Popo Road Junction, Muhoho road at Ngong river crossing, Lusaka na Baricho Road ni flood prone areas. NTSA wamewarn motorists na public...

0

Respect The Living

Kupay Last respect ni muhimu but pia respect for the living ni muhimu. Culture ya human beings all around the world wanakuwa wanasahau kurespect the living. Mbona mtu apelekwe kwa grave na millions ama...

0

Danny Welbeck Amesave Arsenal

  Arsenal walichapa Norwich City 1 – 0 on Sarturday. Fans wa Arsenal walikuwa wanaprotest ndani na nje ya Emirates Stadium, wakivoice frustration kwa failure ya team yao kumount title challenge in recent years....

0

La Liga Inakuwa Fought Till The End

Barcelona wameshinda Real Betis 2 – 0 kumake title chase ikuwe tight. Ivan Rakitic aliopen the scoring for Barca. Game yenyewe ilikuwa tight vile Betis hawakuwa wanapatia Barca space ya kucreate chances. Once again...

0

Mauricio Pochettino Anaextend Contract Yake

Tottenham manager Mauricio Pochettino anaplan kuextend contract yake at Spurs by two years until 202. Pochettino ameguide the club to second kwa premier league table, na amekuwa linked na moves to Manchester United na...

0

Mvua Imeleta Ngori

Mvua noma huko Huruma-Nairobi zimeangusha a six-storey building na wasee seven wamededi. Inasemekana wengine waliokolewa kutoka hio noma mmoja wao akiwa ni mtoi mdogo. Mvua imenyesha Nairobi na pande zingine imeleta hadi ma landslide na...

0

Tomb Raider Wamechange Lara Croft

Alicia Vikander amekuwa signed kustar kama Lara Croft. Hii movie project itadirectiwa na Roar Uthaug (‘The Wave’). MGM na Warner Bros ndio wana co-produce hii movie. The previous Tomb Raiders’ Lara Croft alikuwa Angelina...