Street News Kenya

0

Joe Budden Amediss Drake

Photo:xxlmag.com Joe Budden Amediss Drake Skiza diss ya Joe Budden hapa. Ngoma yenyewe inaitwa “Making A Murderer (Part 1)” . Budden kuna line anasema “Kids got no respect/All because you call me for the...

0

Maboyz Wa Aquinas Wamego On A Rampage

Maboyz wa (AQ) Aquinas High School leo wamego on a rampage after student moja kugongwa na Mathree ya Kayole hapo Jogoo Road. Imekua ni noma huku ma stude wakirusha mawe wakifukuzana na wasee wa...

0

Poland Wanacheza Na Portugal Kwa Quarters Leo

Poland watamenyana na portugal kwa quarter finals za Euro Cup leo. Midfielder wa Poland Bartosz Kapustka atakuwa available tena after kumiss game na Switzerland through suspension. Goalkeeper Wojciech Szczesny ako unlikely kufeature sababu bado...

0

Gabu Na Frasha Wametoa Video Mpya

Gabu na Frasha wa P-unit wametoa video ingine inafaa we ujionee. Video yenyewe inaitwa Wabe. Hii video imereleasiwa jana na link yake iko hapa. Ebu cheki video yenyewe utupatie maoni..

0

Fashion N Style iko on Hii Friday

Hii event inaexpect kuattract 200 – 300 guests. Itamark 3rd fashion edition. Event theme  ni Fashion with an aim. Kama unapenda fashion basi lazima uattend hii event.Ata sii lazima ukue into fashion hii event pia...

0

Poaching Inamaliza Future Ya Country.

Kutoka kitambo tumekua tukiishi vipoa na wanyama kama simba ama ndovu bila shida yeyote.Alafu baada ya ukoloni kitu ilifanyika yenye ilifanya kuua wanyama na kuuza vipande kama pembe zao ilimaanisha pesa mingi. After that...

0

England Wamechujwa Euro 2016.

England wame exit euro2016 after kuchapwa na iceland kwa last 16. Imekua panda shuka kwa england ambao pia juzi waliamua kuexit european union after historical referendum. Bado ata hivo Italy wameadvance kwa last 8...