Category: Technology

0

DSTV Wameshukisha Decoder Price

DSTV wameshukisha bei ya HD decoder kutoka ksh 4,800 mbaka ksh 2,499 na subscription ya mwezi moja sare, hi ni kwasababu  competion imekuwa juu kwanza vile Safaricom imetoa set boxes zao. Multi choice wanadai...

0

Big Box Ya Safaricom

Safaricom wame ingia kwa biz ya set boxes itakuwa na channels za sare za Kenya na pia 3 na 4G internet, CEO Bob Collymore anadai hawata create content, eti biz yao itafocus customers watumie...