Category: Technology

0

Watch Ya $1 Million Dollars

Mbota Ya $1 million Dollars Hublot Black caviar watch ilitoka in 2009. Iko covered in 501 baguette-cut black diamonds na 18-carat white gold. hapa pia kuna video ya watch yenyewe.

0

3D Printing Imetumika Kwa Cancer Patient

Abigail Watson/Indiana University Hii story ni very moving vile technology inasaidia cancer patients. 3D Printing imetumika kureplace jaw ya cancer patient. Mtu akiloose lower jaw to cancer, hakuna many options for prosthetics. Traditional clay ni...

0

Samsung Notebook 9

Samsung Notebook 9 inago for $1,200 kwa chapaa ya Kenya inakuja 120,000/=. Iko na a very healthy battery life pia keyboard yake ni comfortable, na iko na a bright display na thin design.

0

“App Wars”-Littlecabs Vs Uber!

Safaricom wameshikana na Craft Silicon kumake Taxi hailing online app mpya inaitwa “Littlecabs” ambayo inafaa ku-rival Uber. Inasemekana fare ya Littlecabs itakua cheaper kuliko Uber na wasee wataeza lipa na M-PESA. Ni poa hii...

0

Apple Vs Android.

Apple jana wali detail changes wanataka kuleta kwa app store yao. Moja ya hizo changes ni kwa revenue sharing model yao ambayo wanadai itapea developers pesa mingi zaidi wakati users wana subscribe to a...

0

Bose Headphones QuietComfort 35 Ni Wireless

Bose wametoa headphones mpya zile ziko na noise-cancelling tech. Hizi QuietComfort headphones ziko na excellent audio quality. Hizi headphones ziko pia wireless. Hizi headphones zinacost $349 dollars, hizi ni around 34,900Ksh chapaa ya Kenya.

0

Apple iPad Ya Nguvu

Apple iPad Pro 9.7-inch Hii iPad Pro ndio the best conventional tablet Apple imemake. Iko na vibrant, color-accurate screen na the  best camera tumeona on iPad to date. Kusummarize Advantages zake; – Fantastic screen...

0

Phone Ya 1.4 Million

Sirin Labs company ya Israeli imeproduce phone flani inaitwa Solarin, phone yenyewe ni super high-end na super-secure. Kama we ni mtu uko worried that matext zako na calls zako ziko under observation, then hii...

0

ASUS ZenBook 3

ASUS ZenBook 3 ni thinner, lighter na faster kushinda MacBook. Unlike the MacBook, hii ZenBook 3 haitakuwa under-powered. At the top end, unaweza configure ASUS ZenBook 3 na Intel Core i7 processor, 16GB of...