Category: Technology

0

RED 8K Weapon Na Epic-W Cameras

Hizi cameras zinapatia cinematographers up to 35-megapixel RAW images at 60 frames per second. Hizi camera zinago for $49,500 na $29,500 respectively. Cheki video ya specs za camera kwa hii link.

0

Samsung ArtPC Pulse Desktop PC

Samsung wanatoa PC ziko cylinder shaped. Centerpiece yake ni a top-mounted, 360-degree Harman Kardon speaker na ambient lighting. Hardware yake iko na 256GB solid-state drive, 2.7GHz Core i5, 8GB of RAM na Radeon RX 460 graphics....

0

Social Media Inafaa Ikuwe Regulated Ama?

Social Media Inafaa Ikuwe Regulated Ama? Social media imekuwa na sisi sasa for a while na imekuwa na benefits zake na disadvantages zake. For the most part, ikitumika vizuri inahelp. Kuna pia vile ikitumika vibaya inaweza...

0

Transparent TV Ya Panasonic

OLED sreen ya Panasonic imemakiwa na fine mesh, embedded ndani ya glass sliding door. Image ya TV ni visible ata backlight ikiwa on, once iko dimmed, image inakuwa clear na bright enough kukuwa indistinguishable from existing...

0

Nike Wametoa Kiatu Inajiadapt Laces

Nike HyperAdapt 1.0 ziko na adaptive lacing. Ukivaa hizi njumu, heel zako zitakanyaga sensor na zitatighten automatically. Unaeza cheki njumu zenyewe na price yake kwa site ya Nike.

0

Sony Wanatoa PlayStation 4 Slim

Sony wanatoa PlayStation 4 Slim, itakuwa inaenda for 299 dollars. Itakuwa available next month. Sony pia watatoa model ingine PlayStation 4 Pro, which itakuwa available November. Sony wanasema PlayStation 4 Slim itakuwa the new...

0

Panasonic GH5 Inashoot Video Na 6K Technology

Panasonic GH5 inatokea mid-2017, na video capture capability yake itakuwa 6K at 30fps. Hii camera itakuwa poa na slo-mo shots. 10-bit capability yake itafanya videographers wacapture billions instead of millions of colors.

0

iPhone 7 Na iPhone 7 Plus

iPhone 7 zimetokelezea. Ziko na new Black finishes. Camera humps zimechange, na antenna bands zimemove pia. Apple imesema its new A10 Fusion processor ni its fastest slice of mobile silicon ever. Inamean ukigo through apps na webpages...

0

Mark Zuckerberg Yuko Kenya

Mark Zuckerberg yuko Kenya kuskuma story ya free internet. Zuckerberg anaplan kubeam free internet kwa remote areas za country. Anaplan kumeet na entreprenuers na developers. Zuckerberg anataka pia kulearn kuhusu mobile money, pale Kenya ni...

0

LG Wanaintroduce 3 Ultrawide Monitors

LG watalaunch the “worlds largest” 38 inch curved monitor – 38UC99 model, inago on sale in September for $1,500. 34 inch curved monitor 34UC79G in October for $700, na flat 34 inch 34UM79M inakuja...