Category: Technology

0

iMac Pro Ni Powerful Na Sleek

iMac Pro inakuja na collection ya workstation-class graphics, processors, storage, memory, na I/O kuliko any Mac washatoa before. Kila mtu kutoka video editors, 3D animators, musicians, software developers, hadi scientists wanaweza kuitumia kwa area...

0

Cheki Picha Za Nokia 3310

Nokia 3310 Imerudi Nokia 3310 iko area na imekuja na upgrades. Simu yenyewe bado ni cheap na iko na body inakaa indestructible. Hii simu imekuwa gadget watu wengi walipenda sana, na sasa imekam through...

0

Floating Speaker Ya Nguvu

Hizi Bluetooth Speakers zimekuwa around but LG wamechomoa speaker zao zenyewe zikiitwa Levitating Portable Speaker, wata unveil/launch in January. Speaker yenyewe inakaa egg-shaped speaker inahover over its base, which inaitwa Levitation Station. Round base yake...

0

Full HD Laser Projector

LG wamechomoa full HD laser projector inawezatumika for daytime use. Projector yenyewe ni bright enough kuallow itumike mchana. The LG ProBeam iko na 1080p full HD resolution na 2,000 lumens of brightness. Projector yenyewe...

0

HP Xeon-powered PC

HP wamechomoa Z2 mini – iko na workstation class parts, na zina include Intel Xeon CPU, NVIDIA Quadro mobile M620 graphics na M.2 SSD technology. Ikiwa in it’s top configuration, hii device iko twice...

0

WhatsApp Wameintroduce Video Calling

WhatsApp Wameintroduce Video Calling WhatsApp wanaintroduce video calling leo 15th, November, 2016.WhatsApp wako na a billion-plus monthly users. Ukitaka kuitumia lazima ufanye update, ufungue chat, na utap video icon ile iko on the top...

0

Dell XPS 15

Dell XPS 15 Dell XPS 15 laptop ni laptop ya nguvu ill creatives wanaweza consider apart from MacBook Pro. Iko na 15-inch 4K display – hii ni a plus for editing photos na colour...

0

Adobe Wanatoa Photoshop Ya Kubonga

Adobe wanawork on software mpya imekuwa dubbed kama Photoshop of speech. Project yenyewe inaitwa Project Voco. Hii software itaallow users wa alter audio recordings. Itakuwa able kumimic voice ya mtu, kumean inaweza change speech...