Category: Sports

0

Golden State Warriors Walimake History NBA

Golden State Warriors walimake history NBA vile walisurpass win record ya Chicago Bulls. Hakuna teama ingeweza eclise Chicago Bulls ya Jordan benchmark walikua wameset ya 72 wins, but Golden State na Stephen Curry walibeat...

0

Europa League Semi Final Draw

Europa League semi final draw imehappen na Shakhtar Donetsk watacheza na Sevilla. Kwa game ingine Villareal watameet na Liverpool. Ties Zitachezwa April 28 na May 5.

0

Man City vs Real Madrid Na Atletico vs Bayern

Draw ya semis za Champions League zimefanyika leo. Manchester City itamenyana na Real Madrid na Atletico Madrid itameet na Bayern. Hizi tie ni interesting na tunawait kuona performance itakuaje. Ties zitachezwa April 26/27 na...

0

Europa League Results

Liverpool waliprogress after kuchapa Dortmund 5 – 4. Europa league holders Sevilla walingoja mbaka mapena kutoa athletic 5 – 4. Shakthar nao walitoa Sporting Braga 4 – 0 on the night na aggregate ya...

0

Super Comeback Ya Liverpool

Liverpool walimake a sensational ama in other words super comeback kubeat Dortmund 4  – 3 on the day. Liverpool walishinda tie na 5 – 4 aggregate.  Walikua 3 – 0 midway through second half,...

0

Europa League Action

Leo usiku kuna action ya Europa league. Kuna game nne zitachezwa leo usiku 20:05. Liverpool itapatana na Dortmund score zikiwa 1 – 1. Kwa game ingine Sevilla itamenyana na Ath. Bilbao score zikiwa 2...

0

Manchester United Wameprogress Kwa FA Cup Semis

Manchester United wamequalify for semis za FA after kuchapa Westham 2 -1. Man U walionyesha quality kwa hii game walipprove mbona hao ni contenders wa hii cup. Marcus Rashford alipatia United lead kwa hii...

0

Teams Zimequalify For Semis Za Champions League

Atletico Madrid walichapa Barca 2 – 0 on the night kushinda tie 3 – 2. Antoine Griezmann alifunga boa zone mobile kutoa Barca out of the tournament.  Atletico wamepprove kua obstacle kwa barca. Ingawa...

0

Westham Vs Manchester United FA Cup

Manchester United leo itapambana na West Ham leo kwa FA Cup. Louis Van Gaal mwenyewe amedescribe hii kama last chance ya United kupata title. Fans wa Man u wamekuwa disappointed na performances za team...

0

Kobe Bryant AnaRetire Akiwa 37 Years

Kobe Bryant anaretire from basketball after 20 Years kwa game. Kobe amecheza entire career yak na Los Angels Lakers akawin five championships. Kobe alisema vile inamean a lot kugrow up kama die-hard laker fan....