Category: Sports

0

Bayern Wamechapwa Na Atletico 1 – 0

Atletico Madrid imechapa Bayern 1 – 0 kwa first leg ya champions league kule Vicente Calderon. Saul Niguez alifunga bao moja kuensure Atletico wanaenda second leg na win. Bayern walidominate the second half, David...

0

Man City Vs Real Madrid – Champions League

  Manchester City wanameet na Real Madrid kwa semi-finals za Champions League on Tuesday. Man City walichapa Paris Saint-Germain kwa quarter-finals kureach the semi-finals stages for the first time. Hii itakuwa first leg na...

0

Tottenham Wameloose Grounds Kwa Title Fight

Tottenham Imedraw na West Bromwich Albion 1 – 1 kupoteza ground kwa fight ya title with only three games remaining. Craig Dawson alifunga bao zote mbili moja ikiwa own goal. Dawson aliteleza na akajifunga...

0

Sunderland Wamehold Arsenal

Sunderland wamemove out of the bottom three after kuhold Arsenal in a 0 – 0 barren draw. Sunderland wamemove above Norwich City into 17th place on goal difference. Sunderland walicreate better chances za kuwin game. Jack...

0

Kenya Inaendelea Kuperform Poa London Marathon

Kenya inaendelea kung’ara kwa world stage ya london marathon ambapo waKenya Wawili, Eliud Kipchoge na Jemima Sumgong, wameshinda hizo mbio. Sumgong (31) ameshinda race ya madame ata after kuanguka. Aligwarwa kichwa kiasi after runner wa Ethiopia...

0

Manchester United Ndani Ya FA Cup Finals

Anthony Martial alifunga injury-time winner kuhelp Manchester United kureach the 19th FA Cup final after kubeat Everton. Martial aliensure Man U itaface either Crystal Palace ama Watford after kufunga in the dying seconds za game. Marouane...

0

Super Suarez Na Quadruple

Barca walichapa Sporting Gijon 6 – 0 kuretain top position kwa La Liga. Messi aliopen the scoringin the 12th minute kufanya galore za bao zifunguke. Suarez tena aliprove kuwa clinical in front of goal...

0

Manchester City Wamechapa Stoke City 4 – 0

Manchester City Wamechapa Stoke City 4 – 0. Kelechi Iheanacho alifunga bao mbili for Man City wakiprepare for Champions League semi-final against Real Madrid. Manuel alirest Vincent Kompany na Kevin De Bruyne for Champions League...