Category: Sports

0

La Liga Fixtures – Kenyan Time

Friday, February 10, 2017 Espanyol vs Real Sociedad 10:45 PM Saturday, February 11, 2017 Real Betis vs Valencia 3:00 PM Deportivo Alaves vs Barcelona 6:15 PM Athletic Club vs Deportivo La Coruna 8:30 PM...

0

Game Ya Leo – Copa Del Rey

Barcelona watacheza second leg ya Copa del Rey leo usiku against Atletico Madrid wakilead na aggregate ya 2-1. Game yenyewe inakuwanga derby ya nguvu. Hii game ni a must watch kwa fans wa soccer....

0

Table Ya La Liga

Game ya Real Madrid ilikuwa postponed huku Atletico wakishinda game yao against Leganes 2-0 na Barca wakiwin game yao against Athletic Bilbao 3-0. Sevilla walikuwa held to a 0-0 draw kwa game yao against...

0

English Premier League Table

Weekend ilikuwa fullu packed na game za EPL. Team kama Arsenal walichapwa na Chelsea 3-1 wakiloose ground ya kuchukua league. Man City na Man U zote zilishinda game zao. Tottenham pia ilishinda game yao...

0

Cameroon Wameshinda AFCON 2017

After game za AFCON Cameroon walikuwa crowned kama winners wa competition after kuchapa Egypt 2-1 kwa game ilichezwa on Sunday usiku. Egypt waliopen the scoring through Elneny in the 22nd minute na walionekana kuchukua...

0

Results Za La Liga

Sunday, February 5, 2017 Malaga 0-1 Espanyol Barcelona 3-0 Athletic Club Atletico Madrid 2-0 Leganes Valencia 0-4 Eibar Sevilla 0-0 Villarreal Real Sociedad 3-2 Osasuna Sporting Gijon 2-4 Deportivo Alaves

0

Results Za EPL

Sunday, February 5, 2017 Chelsea 3-1 Arsenal Watford 2-1 Burnley West Brom 1-0 Stoke City Southampton 1-3 West Ham Hull City 2-0 Liverpool Crystal Palace 0-4 Sunderland Everton 6-3 AFC Bournemouth Tottenham 1-0 Middlesbrough Leicester City 0-3 Manchester United Manchester City 2-1...