Category: Soccer

0

Arsenal Wamepigwa 4-3 Na Liverpool

Arsenal wamechapiwa home kwao na Liverpool 4-3. Arsenal walianza game wakifunga bao ya kwanza through Theo Walcott in the 31st minute. Philippe Coutinho aliequalize for Liverpool in the 45th minute, na akaongezea ingine in...

0

Gor Wamedraw Tena

Gor wamedrop points tena after kudraw na Rangers 0-0. Gor walikuwa na chance ya kumove closer to Tusker, but waliloose hilo chance. Tusker walidraw kwa game yao 1-1 on Saturday wakicheza na Western Stima.

0

Fixture Na Time Za Game Za EPL

Fixture Za Leo English Premier League. Saturday 13th August, 2016 – Time ya Kenya. Hull vs Leicester 2:30 PM Burnley vs Swansea 5:00 PM Crystal Palace vs West Brom 5:00 PM Everton vs Tottenham...