Category: Soccer

0

Results Za Champions League

Tuesday, December 6, 2016 Barcelona 4-0 Borussia M’gladbach Basel 1-4 Arsenal Bayern München 1-0 Atletico Madrid Benfica 1-2 Napoli Dynamo Kyiv 6-0 Besiktas Manchester City 1-1 Celtic PSG 2-2 Ludogorets PSV 0-0 Rostov

0

Champions League Fixtures – Kenyan Time

Tuesday, December 6, 2016 Barcelona vs Borussia M’gladbach 10:45 PM Basel vs Arsenal 10:45 PM Bayern München v Atletico Madrid 10:45 PM Benfica vs Napoli 10:45 PM Dynamo Kyiv vs Besiktas 10:45 PM Manchester...

0

La Liga Standings

Kwa game za weekend za Spanish La liga, kulikuwa na magame kubwa kama El Clasico. Barcelona walikuwa wanahost Real Madrid na game yenyewe iliisha in a draw ya 1-1. Kwa game ingine Atletico Madrid walidraw...

0

Standings Za English Premier League

After weekend ndefu, action za game za ball zilikuwa kibao sana. Wazito walimenyana kama Chelsea na Man City. Chelsea walibeat Man City 3-1. Arsenal kwa game ingine walicheza na West Ham wakawapiga 5-1. Man...

0

Man U Wamedraw Kuremain In Position Six

Man U wakicheza on Sunday na Everton walikuwa wametake lead in the first-half through Ibrahimovic, wakikuwa on their way kushinda game yenyewe. Substitute wa Man U Marouane Fellaini alifoul Idrissa Gueye na Baines aka...

0

Chelsea Wamechapa Man City Kuretain Top Spot

Saturday, December 3, 2016 Kwa game interesting imechezwa leo afternoon between Man City na Chelsea, game iliisha 3-1, Chelsea wakiretain top spot kwa table. Diego Costa na Willian walifungia Chelsea bao zao. Bao ya...

0

Kuwa Ready For El Clasico

El Clasico ni one of the most watched football game world wide. Millions kutoka every corner of the world wanakuanga wanatune inn wawatch game. Game kubwa ya weekend itakuwa ya Barcelona vs Real Madrid....