Category: News

0

Power Outage Kenya

Kumekuwa na major power outage Kenya kuanzia 5am asubuhi due to technical hitch. Kenya Power walikuwa wanawork around the clock kusolve this issue. Power ilirudi kwa most parts of the country kuanzia 10am. Nairobi...

0

Mavibanda Zimebomolewa Na Kanjo Huko Buru

Mavibanda jana usiku zilibomolewa na Nairobi County Government. Business men kuamkia ngware walipigwa na butwa. County government inasema hizo structures ni illegal, na zilikuwa zime encroach on roads. Residents wa hii area walikuwa wamecomplain before...

0

Machinku Walibitika Na Mayouth

Mayouth waliattack railway construction workers machinku pale Duka Moja railway construction site, Narok-Maai Mahiu road – Narok County. Hawa machinku walikuwa fourteen sai wana nurse ma injuries. Hawa mayouth walikuwa more than soo mbili,...

0

Building Imecollapse Kariobangi South

Kuna five storey building imecollapse Kariobangi South, Eastlands. According to residents wa hiyo area, hii building ilikuwa marked for demolition. Building yenyewe ilikuwa na crack. Story ya casualties iko unknown at the moment. Tutawaupdate...

0

Ukiangukia Mamita Utafanya Nini ?

Kuna mara mob mayouth mtaani wanakuanga wakibonga kuhusu kuangukia mamita. Issue hapa ni ukiziget na haukuwa unaexpect hizi chapaa, utafanyia nini. Hizi dreams zinakuwanga close kwa heart za mayouth. Sai na hizi ma betting...

0

Drivers Wa Uber Wanastrike Leo

Drivers wa uber karibu thao tatu, walisema watakosa kuingia job leo in protest of ile 35 percent rate cut iliannounciwa na company last week. Hawa madere wanathreaten kutoka Uber na kujoin rivals wake kama...

0

Breaking News: Nyahururu Boys On Fire

Nyahururu Boys High School Latest Victim Ya Arson Dorm iliburn leo in another spate of arson. Mastude inasemekana walikuwa wakisit for their end term exams nare ikiwaka. Hii nare imeanza kitu saa tano na...