Category: News

0

Isaiah Kiplagat Amekacha

Isaiah Kiplagat Amekacha after battle na cancer, according to reports. Suspended Athletics boss Isaiah Kiplagat amededi on Wednesday akiwa 72 years, after kuloose battle na cancer.

0

Film Industry Ya Kenya Inagrow

Film industry ya Kenya inaendelea poa sana. Kenya imekuwa destination poa ya filmmakers world wide. Example fiti ni series inaitwa Sense 8. Sense 8 imekuwa na scenes za hapa Kenya. Cast wale wametumika kwa...

0

Mafuta Ya Taa, Petroli na Diesel Zimepanda

Mafuta ya taa, petrol na Diesel zinapanda kuanzia leo usiku. Petroli inapanda by Kshs 2.20, Diesel na Kshs 1.27, na mafuta ya taa inapanda na Kshs 1.03 a litre. Hii ni according to the...

0

Walk Of Hope

#WalkOfHopeKE2016 ni initiative ya vijana wa Kenya kuleta amani na ushirikiano kati ya WaKenya. Vijana kadhaa WaKenya wameungana kutembea kutoka Nairobi hadi Mandera distance ya 1500km wakihubiri amani na upendo kati ya Wakenya. Ni...

0

Unaonaje Hii Story Ya Ma Pastor Offering ?

Shida kwa hii dunia ni mingi sana, na mtu akipewa hopes za kujua Mungu wake, ata roho utulia. Human beings all around the world wameamini religion. Majority wana practise religion na minority wana practise...

0

Students Watatu Wamekacha Kwa Accident Kisii

Students Watatu Wamekacha Kwa Accident Kisii on Friday. Students watatu walituwacha leo na wengine 68 wako na mainjury after school bus yao iroll huko Nyambunde, Kisii County. Watazamaji wanasema bus ilioverturn after dere aliloose...