Category: News

0

KDF Recruitment Imeanza Leo

KDF Recruitment Inaanza Monday Hii month long exercise itakuwa inalook for general recruits,constabularies na tradespeople. Wale mayouth wanadai kuserve country yao kwa hii form kama general recruits, wako required kukuwa na score mean grade ya D...

0

Gova Imedeclare Monday Public Holiday

Gova imedeclare Monday, September 12, a public holiday kumark Islamic feast ya Idd-ul-Adha. Announcement ilikuwa made kwa Kenya Gazette notice kutoka Interior Cabinet Secretary Joseph Nkaissery dated September 9th, 2016.

0

Film Industry Itareceive Ksh 20 Billion

Hii funding itakuwa ya kuimprove quality and quantity ya productions across Africa. The Pan African Federation of Filmmakers wanalead efforts za kumobilise $200 million kutoka financiers over the next 2 years kufund audiovisual na cinema...

0

Somalia Imeban Gomba Ya Kenya Kuanzia Leo

Gova ya Somali imesema imesuspend flight zote za kutransport Gomba from Kenya to Mogadishu. Hii decision ita affect business men wa miraa huku Kenya. Somali minister wa Civil Aviation Ali Ahmed Jangali, alisema wamedicide...

0

Taharuki Za Mtaa

Kuna story waKenya wamezoea sana kufanya, na hii section tutakuwa tunahighlight zile vitu zinafanyikanga mtaani. Leo tunabonga kuhusu kuhang kwa train. Kenyans wamependa sana hii story. Utapata train imebeba wateja wengi, na wengine mbaka...

0

Mark Zuckerberg Yuko Kenya

Mark Zuckerberg yuko Kenya kuskuma story ya free internet. Zuckerberg anaplan kubeam free internet kwa remote areas za country. Anaplan kumeet na entreprenuers na developers. Zuckerberg anataka pia kulearn kuhusu mobile money, pale Kenya ni...

0

Maajabu Ya Tharaka- Nithi

Hosi moja huko Tharaka Nithi Kibung’a Sub-County Hospital walilazimika kutumia matorch na Koroboi waki attendia patients usiku after Kenya Power kudisconnect stima za hio hosi juu ya deni ya bill ya Ksh95,000.