Category: News

0

Residents Wa Eastlands Wamekataa Kusonga

Last week tulireport story ya vile City Hall inataka kujenga makeja zingine kureplace make zile za kitambo. Hii project yote inafaa kucost kitu Sh60 billion. Already six firms ziliwin tender yakudevelop hizi makeja mpya....

0

Makeja Za Kanjo Zitabomolewa

Makeja za kanjo kwa mtaa mingi za Eastlands zitabomolewa. According to City Hall, hii ni sababu wanataka kumake high-rise residential units. Hii story imetokea vile City Hall walisign development contracts na private financiers on...

0

Cheki Video Ya Floods Nairobi

Hii video ilichukuliwa Buruburu time ya rain ile ilinyesha na ikacause floods area ya Eastlands. Mvua Yenyewe ilinyesha only for a few minutes but ilikuwa strong. 

0

Floods Na Blackout Nairobi

Mvua ile imenyesha leo inaweza kuwa described kama “It’s raining cats and dogs. Hii mvua ilianza kunyesha kitu 6:00 PM jioni na ikacause floods area mingi. Area za Eastlands mingi zilikuwa affected na hizi...

0

Ezekiel Mutua Amepatia Artists 7 Day Notice

Ezekiel Mutua Anataka Artists Wako Na Obscene Stage Names Kuzichange Kenya Film Classifications Board CEO – Ezekiel Mutua amepatia seven day notice kwa musicians wale wanatumia obscene stage names kuchange hizo names, ama kuface...

0

Happy Mashujaa Day Kwa Raia Wote

Sisi kama Street News Team, tunawish raia wote wa 254 happy Mashujaa Day. Tukikumbuka mahero wetu wa kitambo wale wanafanya tuenjoy freedoms za leo. Kuna pia mashujaa wale wanakuwanga huku kwa streets wakihustle yao...

0

Bandits Wanatake Over The Town

Bandits ni wale watu wa kawaida kama mimi na wewe but wako na greed kuruka. Hawa si wale wagondi wakuiba sababu ya njaa, but kuiba sababu wanataka tu hao ndio wakuwe nayo. Story mingi...

0

Atheists Wanataka God Atolewe Kwa National Anthem

Atheist wa Kenya wanataka jina ya God itolewe kutoka kwa national anthem. Wamelodge online petition ya hii story. Wanasema hao as non-believers, National Anthem haiwarepresent na inago against the spirit of the constitution. Wanasema...

0

Mabosses Maconi

Kuna watu wanapenda kutumia watu vibaya. Desperation ni one of the major causes inafanya youths wanatumika vibaya kwa workplace na bosses. Kazi ni kitu important sana, na inafaa mtu alipwe vile inafaa. Hauwezi kuwa...

0

MCSK Wamekuwa Ordered Walipe Chapaa Ya Artists

MCSK wamekuwa ordered wapay chapaa ya group ya gospel artists royalties zao. Hawa wasanii, 14 of them, walifile kesi High Court in Nairobi wakiclaim MCSK wamekataa kuwapea chapaa zao after zikuwe released na Safaricom. Wasanii wanasema...