Category: News

0

Accidents Thika Road.WARNING(Graphic photos).

Accidents Thika Road zinazidi kuongezeka daily. Juzi tu msee alikua ana drive Toyota aina ya WISH alipita na ukuta akaacha ndae yake imehung katikati ya ukuta. Inakaa watu hawajazoea Thika Road ama? Tena leo...

0

Kama Wa Kalamashaka Ni Success Story.

Kalamashaka ndio tunaeza sema waliskuma mziki ya Kenyan HipHop to another level na pia walifungua mayouth ki akili na mziki yao. Hakuna rapper Kenya anaeza andika profile bila hawa wasee watatu. Made up of...

0

Apple Vs Android.

Apple jana wali detail changes wanataka kuleta kwa app store yao. Moja ya hizo changes ni kwa revenue sharing model yao ambayo wanadai itapea developers pesa mingi zaidi wakati users wana subscribe to a...

0

Power Blackout Nairobi

Kumekuwa na power blackout Nairobi. According to KPLC, blackout ilikuwa caused kwa Gitaru Hydro Plant ndo ilicause power outage. Blackout yenyewe ilikaa the whole afternoon. Biashara mingi mtaani zilikuwa affected kuanzia makinyozi mbaka wasee...

0

Leo Ni World Environment Day.

World Environment Day,iko organized on 5 June na  United Nations Environmental Programme (UNEP), na inaleta attention kwa illegal trade ya wildlife products yenye inathreaten biodiversity ya Ardhi na kuibia inchi natural heritage. Ndovu, Kifaru,...

0

Net Worth Ya Ali $50m-$80Million.

Kulingana na ‘The Richest’, net worth ya Mohammed Ali ni $80 million hadi 2012. CelebrityNetWorth, however, wanasema ni $50 million. Ali alimake doh ndani na inje ya Ring.Alifight the best from all over the world...

0

Worlds Greatest-Muhammad Ali Amededi at 74years

The ‘Worlds Greatest’ boxer Muhammad Ali amededi at 74 years. Ali alidedi jana Friday 3 June usiku, after kuugua kwa muda toka shida ya mapafu kwa siku kadhaa. Pia alikua anaugua Parkinsons Disease for...

0

Dreams Za Kukuwa Millionaires Through Gambling

Dreams Za Kukuwa Millionaires Through Gambling. Betting imekuwa big business in Kenya. Ndo maana tunaona headlines za kushinda 20 million jackpot almost every week kwa media. Hii inapatia vijana wengi sana tamaa ya kubet....

0

ShootOut Kwa Show Ya T.I.

Rapper Roland Collins aka Troy Ave(Average) 33yrs kutoka Brooklyn NewYork alikuwa involved kwa shoot out kwa concert ya T.I.,huko Irving plaza, Manhattan, na msee mmoja bodyguard wa Troy(Ronald Mcphatter) alidedi. Troy alitoka kwa hio...