Category: Nairobi/News

0

Fire Iliburn Slums Mathare

Team yetu ilikua mathare 17-04-2015 friday, na tuliget kulikua  na fire inaburn. Hapa tulipata hii moto ishachoma vitu za raia, na walikua wanajaribu ku salvage zile kidogo zilikua zimebaki. Kama kesi zingine zile ziutokea...

0

Kudishi “Kwa Mathe”

  Kuna base mingi sana Nairobi zile ma bachelor na pia wasee wote in general, wanaweza kula time ya lunch ikifika. Hizi place ziujulikana kama “Kwa Mathe”. Hapa utaget menu poa sana ya food...

0

Sin City Ni “Pewa Street”

Umoja Estate ni famous sana sababu ya hii area inaitwa pewa street. Hii street ni notorious sana juu ya zile activities zinaendeleanga hapa throughout the day and night. Maboyz hii area wamekosa ma mradi...

0

Signage Za Thika Road Zimehelp Motorists

Thika road ilikua officially inaugurated in November 2012 by the then former president Mwai Kibaki. Hii superhighway inaconnectNairobi na Thika. Hii superhighway ni 50km long ikianza from Nairobi mbaka outskirts za Thika. Hii project...

0

Club Za Mchele Na Kuibiwa Nairobi

Club za Nairobi ziukua na revellers wanapenda kuvisit ikifika weekendi. Hii ni after kupitia week mzima ya stress za job. Watu upenda ku unwind na  a few drinks pamoja na friends. Hii inafaa kua...

0

City Stadium Stage

Kwa wakenya wengi wale wanatumianga jogoo road kuenda shughuli zao za daily wanajua poa sana “Stadi” ni wapi. Hii stage iko na activities nyingi sana za the common business men. From kitambo sana residents...