Category: Nairobi/Entertainment

0

Vigeti Na Album Mpya

Mr. Johnny Vigeti ni member wa Kalamashaka. Hii group ilihelp sana ku establish kiswahili rap sheng kwa kenyan market na africa as a whole. Walikua johnny , Roba , na kama ambae yuko majuu...

0

Ken Ring

Ken Kiprono aka Ken Ring ni producer international na tuko proud ni mkenya. Ameproduce international artists kama Heltah Skeltah, akina Morgan heritage, na Kalamashaka. At the moment Ken anabuild studio huku Kenya. Kenring  anaanza...

0

Judge Kuhusu Hiphop

Tulimeet na Judge artist wa hiphop hapo Jerusalem kwa studio ya mandugu digital akifanya tracks zake mpya. Judge alitushow vile anapenda hiphop, na love peace na unity, na hiyo love ya hiphop ndo imefanya...

0

Octave Band Wakiperform Go-Down

Octave Band walilaunch their musical journey which iliconsist of eight heads, hawa ni mayouth walidecide kuweka drugs and crime kando na kufocus on the live music performance. Octave wamejiweka mara kadhaa in public in...

0

Fimbo Ya Grandpa Imechapa 10 Years

Grandpa Records walihold 10th anniversary yao kabla tuvuke mwaka 2015. Event ilikua pale Sarakasi Dome Ngara. Turn up ya watu ilikua poa sana na watu walikua entertained fully. Kitu ile ilifanya ikawa memorable ni...

0

Comeback Ya Chiwawa

Chiwawa ni artist alichange game ya hiphop Kenya. Tulimeet na ye na akatusho plans zake za 2015 na vile sai anafeel. Chiwawa ako na double album amekua akirecord kwa mastudio kadhaa. Anasema anataka kurelease...