Category: Kayole/Business

1

Biashara Ni Lazima Ukue Na Discipline

  Watu wamabiz huku kayole wako na options mingi sana za kusave chapaa yao ya biz. Kufanya biz inaneed discipline na patience kitu ya kwanza. Bila discipline hauwezi save chapaa na biz yako itaanguka....