Category: Health

0

MBONA NLICHOREA BANGI (PT. 3)

Sikua nimetoa ata moshi mbili za high grade, lakini zilikua zimeshika tu ki’design. Kustukia kumbe ni wale makarao wa msituni, ma-AP uhandle zile ngori sisi huskia tu kwa news za waSamburu. Brathe/siste nilikua nime’sweat...

0

Mbona Nilichorea Bangi ( Part 2 )

Kama ulihata part 1 ntawapea link hapo chini.” Reithman Kila action huwa na consequence yake, good or bad, especially ukiwa wrong side of the law. Hapo ndio mi nlikua, WRONG SIDE! Iko mahali kwa...

0

Mbona Nilichorea Bangi

Kwa hii era tunaishi sai almost kila msee hutumia bangi/kaya/fusheng/ombege; au madre tu zingine mingi sitataja. Na bangi ndio the most abused drug mtaani na Kenya mzima kuliko jaba au veve. Mi nimetoka mtaa...

0

Remedies Za Appendicitis Kwa Watu Wa Khat

Remedies Za Appendicitis Kwa Watu Wa Khat Watu wa kuchana wale wanapenda veve na jaba wanafaa kujicheck vipoa kuavoid hii story ya appendicitis. Tunajua hii drug watu wengi wanapenda kutumia kupass time nayo. Kama...

0

Researchers Wa HIV Wanakaribia Cure

British scientists wanakaribia cure ya HIV. According to reports, 44 year old social worker huko London ako free of the virus after kuundergo an experimental “kick and kill” treatment as part ya trial. Huyu patient kwanza...

0

Nini Inafaa Ifanyike Counterfeit Drugs Zimalizike?

Counterfeit drugs zimekuwa problem kubwa sana all over the world. Huku Kenya hii story imekuwa sana. Dawa ukibuy kwa chemist unaexpect normally ikutibu ugonjwa, but vile chemists zimekuwa mob imekuwa ni big business na unscrupulous businessmen...

0

Time Unasosi Ni Important Kuliko Kitu Unasosi

Time Unasosi Ni Important Kuliko Kitu Unasosi Watu wale wanaskip meals, wale wanakula on the go, ama late in the evenings ni less healthy people than wale wako na regular sit-down meals na wengine –...

0

Disadvantages Za Fast Foods

Tunajua watu wengi wanapenda fast foods sana na hawajui disadvantages zake. I think reasoning ya majority ni that ni readily available, na bado ni food chap chap, that’s why inaitwa fast foods. Tunataka kukupatia...

0

3D Printing Imetumika Kwa Cancer Patient

Abigail Watson/Indiana University Hii story ni very moving vile technology inasaidia cancer patients. 3D Printing imetumika kureplace jaw ya cancer patient. Mtu akiloose lower jaw to cancer, hakuna many options for prosthetics. Traditional clay ni...