Category: Entertainment

0

Tomb Raider Wamechange Lara Croft

Alicia Vikander amekuwa signed kustar kama Lara Croft. Hii movie project itadirectiwa na Roar Uthaug (‘The Wave’). MGM na Warner Bros ndio wana co-produce hii movie. The previous Tomb Raiders’ Lara Croft alikuwa Angelina...

0

Big Punisher Hip Hop Legend

Big Pun (Christopher Lee Rios) alirelease his hit debut LP, Capital Punishment 18 years ago. Kwa kuwa the only album released during life yake, Capital Punishment inahold a special place in Hip Hop fans...

0

Katt Williams Amekuwa Arrested Tena

Katt Williams amekuwa arrested tena. Katt Williams alikuwa taken into custody last night in Atlanta after kuget into a verbal altercation na staff kwa a popularr seafood restaurant Spondivitis. Following argument, Williams aligrab salt...

0

All Eyez On Me – Movie Ya 2Pac

All Eyez On Me Movie ya story ya Tupac inaitwa all eyes on me ishakuwa shot na sasa iko post production. All Eyez On Me imekuwa directed na Benny Boom the famous director wa...

0

Chronixx Atakua Live In Kenya

Reggae superstar Jamar Rolando McNaughton Jr (23yrs), ama ukitaka Chronixx, anakuja Kenya for a one-night show of epic proportions on June 18th at the KICC grounds. Event yake iko sponsored by Good Times Africa...

0

Jay z Na Beyonce Wako Worth $1 Billion

Jay z (Sean Correy Carter)(47yrs) na wife yake Beyonce (32yrs)wako worth 1 billion dollars pamoja. Jay z peke yake ako worth $550million. Jay z ni msanii amejulikana  juu ya entrepreneurial spirit yake. Ameshikilia kampuni mingi zimefanya poa...

0

MauMau Ina Rep Paris Rugby 7s

Msanii wa nguvu- Roba Mwenyeji -kutoka kikosi ya Mau Mau, atakua moja ya wasanii wataperform next month, 14th May, huko France ,kwa afterparty ya games za HSBC rugby 7s series huko Paris. Team ya...