Category: Entertainment

0

Kayvo K-force Analaunch E.P.

Kayvo Kforce amekua kwa game for a minute sasa na ameprove he’s a force to reckon with. Kayvo alikua one third ya trio ilikua inaitwa K-force(force ya Kibera) made up of Yeye, Ndochez na...

0

Shetta -Namjua lyrics

NAMJUA BY SHETTA [Intro] Namjua, (okay) namjua Namjua, (okay) namjua Namjua, namjua Namjua, namjua [Verse 1] Kuwa nae paradiso, mie nae uhai kwa kifo Kama babu na kiko, niko nae toka nausa sisal Akitembea...

0

Girongi Ana Turnup Mbaya!

After kutrend siku nzima juu ya story ya passport France,Girongi amerudi tena na track mpya inaitwa ‘Turnup’. Ngoma yenyewe ni kali sana kuanzia production na quality ya audio. Girongi pia amekalia hio beat kama boss...

0

NafsiHuru-M.U.S.A. Lyrics

NAFSI HURU ft CHIZN BRAIN-(M.U.S.A. Lyrics) Chorus M2 tha u s a Ni wa michano Hustler matawi ya juu Sina mfano baab Nitatandaa far mpaka S A Mic Tano Naitwa M2 tha u s...

0

Nafsi Huru – MUSA

Nafsi huru aka Musa Adam ni msanii amezaliwa pwani lakini anaishi Nairobi ambapo anaskuma kazi yake ya mziki. Amefanya ngoma na wasanii wengi wa pwani kama Man OP wa skani flani na Bambino. Ako na...

0

Vicmass Na Octopizzo

Video ya leo tunafeature ni ya Vicmass Luodollar Ft. Octopizzo. Ngoma yenyewe ni fusion ya Luo na Sheng, Kizungu pia. Ebu feel hii track na muweke comments zako hapa. Ngoma yenyewe inaitwa Bank Otuch.