Category: Entertainment

0

All Eyez On Me – Movie Ya 2Pac

All Eyez On Me Movie ya story ya Tupac inaitwa all eyes on me ishakuwa shot na sasa iko post production. All Eyez On Me imekuwa directed na Benny Boom the famous director wa...

0

Chronixx Atakua Live In Kenya

Reggae superstar Jamar Rolando McNaughton Jr (23yrs), ama ukitaka Chronixx, anakuja Kenya for a one-night show of epic proportions on June 18th at the KICC grounds. Event yake iko sponsored by Good Times Africa...

0

Jay z Na Beyonce Wako Worth $1 Billion

Jay z (Sean Correy Carter)(47yrs) na wife yake Beyonce (32yrs)wako worth 1 billion dollars pamoja. Jay z peke yake ako worth $550million. Jay z ni msanii amejulikana  juu ya entrepreneurial spirit yake. Ameshikilia kampuni mingi zimefanya poa...

0

MauMau Ina Rep Paris Rugby 7s

Msanii wa nguvu- Roba Mwenyeji -kutoka kikosi ya Mau Mau, atakua moja ya wasanii wataperform next month, 14th May, huko France ,kwa afterparty ya games za HSBC rugby 7s series huko Paris. Team ya...

0

Papa Wemba Ametuwacha

Shungu Wembadio aka Papa Wemba amededi. Papa Wemba alicollapse while akiperform on stage. Papa Wemba ametuwacha kama ako na 66 years. Hii ilihappen kwa FEMUA festival in Abidjan, Ivory Coast. Video ya concert yenyewe...

0

Birdman Aliwalk Out From Interview

Rapper Birdman jana ngware alileta ngori live kwa radio show inajiita ‘The Breakfast Show’. Show yenyewe ina hostiwa na wasee watatu,Chalamagne the god,Dj Envy na msupa anaitwa Angela Lee. Noma ilianza vile Birdman aliingia studio...

0

Purple Lamborghini ya Blac Chyna

Purple Lamborghini ya Blac chyna Rob Kardashian star wa keeping up with the Kardashians amebuyia fiancee wake Blac Chyna engagement gift ya purple 2016 Huracan Lamborghini for a mere $199,800 (Ksh 20 million) kutoka...