Category: Entertainment

0

Inafaa Tukumbuke

Malion inafaa tukumbuke ile kitu inatuweka pamoja kama waKenya. Hizi ni times tunaenda elections na hatutaki repeat ya kile ilihappen 2007. Kwa haya mafupi tunaweka link ya ngoma flani ya Chiwawa ft. Harry Kimani...