Category: Entertainment

0

Video ya Jaguar Ft Mafikizolo -Going Nowhere

Jaguar amefanya ngoma mpya na Mafikizolo inaitwa ‘GOING NOWHERE’. Ni step poa kwa career yake juu tayari jaguar ni msanii mkubwa E.Africa na Mafikizolo pia ni wakubwa Afrika. Video imefanywa na Godfather na ni chupa....

0

Nyashinski Amerudi

Nyashinski ni rapper mnoma sana.Tangu day one akiwa na Kleptomaniacs na kina collo na roba amekuwa akiprove yeye ni force to reckon with. Klepto wote ni wanoma kivyao lakini hii ngoma ya Nyash mpya...

0

Abass Kubaff Ako Ngangari

Abbas Kubaff ni msanii mkubwa sana Africa and East Africa to be specific. Yeye ni pioneer wa swahili rap na credit yake lazima apewe. Alihook na keggah kufanya track inaitwa ngangari. Hii track ni moto na wasee...

0

Jennifer Lopez Ametoa New Music Video

Photo:marieclaire.co.uk Jennifer Lopez Amerelease New Music Video Ya “Ain’t Your Mama”. Jennifer Lopez  amerelease new music video. Hii ndio her first song since returning to Epic Records last month. Sai hii ngoma yenyewe inastand...