Category: Entertainment

0

Ngoma Mpya Ya Shannon – Shida

Kuna dada wetu hapa 254 anaitwa Shannon ametoa ngoma kali inaitwa Shida. Cheki hapa video yake mpya. Video ikobiye na ni chupa kuruka. Tusupport huyu dada by kushare hii link ya ngoma yake. #Tukobiye

0

Obinna Na New Video – Holla

Obinna the oga master amerudi tena na ngoma mpya inaitwa Holla. Obinna alianza kama comedian kabla aventure kwa music, na sahi anaendelea poa sana. Video imeshootiwa na RichieG wa ATL entertainment na ni kali...

0

Sage – Maskini Video

  Cheki video ya Sage. Huyu ni artist mmoja ambaye yuko na vocal prowess. It’s been a while tangu atoe kazi zingine mpya. Skiza hii kazi yake hapa kwa link.