Category: Entertainment

0

Video Ya Frankie Dee – Fisilet

Cheki video ya wanga ya msanii wa dancehall anaitwa Frankie Dee. Ngoma yenyewe inaitwa Fisilet. Huyu ni one of the few dancehall artists hapa Kenya. Big up Frankie Dee. #Tukobiye

0

Video Mpya Ya Amos Na Josh

Cheki video ya wanga ya Amos na Josh. Ngoma yenyewe inaitwa Kupe. Wamefeature Ben Pol na Apio, na Mohammed Amin. Ngoma yenyewe ni kali sana. Cheki video yenyewe hapa kwa link.

0

Miss A – Welela

Cheki ngoma ya Miss A – Welela. Video yenyewe ni chupa na concept yake ni very different. Huyu dada wetu ako na sauti kali sana. Cheki video kwa link hapa. #Tukobiye