Category: Entertainment

0

JuaEmcee – Haze

Leo kwa JuaEmcee tunafeature upcoming artist mnice anaitwa Haze. Ye ni mkali rap na bado anaweza imba. Get kujua mambo ya Haze hapa kwa video link. #JuaEmcee

0

Hottest New Duo Kwa Streets

  Assasin na Haze ni one of the freshest duo kuhit the music scene na brand new single yao inaitwa Hold You. Assasin anaitwa Livingston Onditi na Haze ni Michael Mwaeba. Hawa mayouth wamekam...

0

JuaEmcee – Elani

Kwa segment yetu leo ya JuaEmcee tunafeature story ya Elani. Pata info kupitia video link hapa kuhusu group yenyewe. #JuaEmcee