Category: Entertainment

0

Ngoma Mpya Ya AY Ft. Nyashinski

AY ameshikana na Nyashinski kutoa ngoma mpya inaitwa More and More. Hawa wasanii wameblend vipoa sana. Wote wanaweza blend rap na kuimba. Skiza hii track yao mpya. #Tukobiye

0

Video Mpya Ya Ben Pol

Ben Pol ni msanii wakutoka TZ na amekuwa akifanya mambo na at the moment anacome through sana. Ben Pol ameshikana na Mr. Eazi kwa ngoma yake mpya inaitwa Phone. Sound yenyewe ni nice. Skiza...