Category: Business

0

Apple Vs Android.

Apple jana wali detail changes wanataka kuleta kwa app store yao. Moja ya hizo changes ni kwa revenue sharing model yao ambayo wanadai itapea developers pesa mingi zaidi wakati users wana subscribe to a...

0

Stephen Curry Ametoa “Stephmoji” App

Stephen Curry anacash in on his success through advertisements akirake in millions in endorsements. Stephen Curry ameunveil a brand new venture, the “StephMoji” app. Hii emoji pack  inafeature back-to-back NBA MVP iko na Chef...

0

Maburger Zinacome Area

Hardee’s fast food chain ya States inaopen in July hapa Kenya, na itakuwa located JKIA kwa Terminal 1A departure lounge. Hardee’s inajulikana juu ya maburgers zao. Hardee’s itakua area so watu waende wasample charbroiled...

0

Artist Ni Slave Wa Corporates?

Wasanii wamekua wakingojea doh zao kutoka Safaricom SKIZA Tunes kwa muda mrefu sana. Pesa za wasanii zilikua zimeshikiliwa na Safaricom juu ya ma kesi kortini na siasa mingi za CMOs(Collective Management Organisation) k.v. MCSK(Music...

0

Mayouth Wamepewa 15bn Na World Bank

World Bank imetoa sh15 billion kwa mayouth Hii chapaa ni ya establishment ya business grants program, na kusupport macompany zinaoffer kubridge jobs skills gap among college graduates na pia kustrengthen policy ya Kenya on...

0

KPLC Hawataraise Power Tariffs

Kenya Power walikuwa wanataka kuraise consumer tariffs but Energy Regulatory Commission (ERC) wamerule out tariff increment. Kenya power walipresent proposal ya higher tariffs last month. Managing director wa Kenya Power Ben Chumo alisema reason...

0

KRA Inatarget M-PESA

Kenya Revenue Authority (KRA), inatarget transactions za individuals na macompany za M-PESA. Wanaplan kugenerate more revenue through this na pia kucatch tax cheats. Commissioner General John Njiraini alisema ni kitu wanadevelop already. Alisema watafocus...

0

Kenya Railways Imeingia Kwa Real Estate

Kenya Railways wameingia kwa real estate after completion ya building yao mpya westlands. Hiyo building yenyewe imecost hii company ksh 1.6 billion kuijenga. MD wa KRC Atanas Maina anasema KenRail Towers, of which iko...

0

Revenue Za HTC Zimego Down

Revenues ziko down na a massive 64 percent. Vitu zinakaa haziko poa HTC. Leo wamereport another difficult earnings report kudetail its fourth consecutive quarter loss. The Taiwanese manufacturer, wamerelease its latest smartphone recently, HTC...