Category: Business

0

Billionaires Wa Africa Na Biashara Zao

Hii list ni ya Africans wale wanareside kwa continet only. According to Forbes, Aliko Dangote ni Nigerian cement tycoon anaremain Africa’s richest person for miaka ya sita mfululizo. Dangote ako na fortune ya $12.1...

0

Makeja Za Kanjo Zitabomolewa

Makeja za kanjo kwa mtaa mingi za Eastlands zitabomolewa. According to City Hall, hii ni sababu wanataka kumake high-rise residential units. Hii story imetokea vile City Hall walisign development contracts na private financiers on...

0

Somalia Imeban Gomba Ya Kenya Kuanzia Leo

Gova ya Somali imesema imesuspend flight zote za kutransport Gomba from Kenya to Mogadishu. Hii decision ita affect business men wa miraa huku Kenya. Somali minister wa Civil Aviation Ali Ahmed Jangali, alisema wamedicide...

0

Ma betting Company Zitalipa More Taxes

Gova inaplan kutax ma betting company for more money. Hii move ilikuwa adopted na National Assembly last week ikiawait Orezo assent ikuwe law. Ma betting company on the other hand, wanasema hizi taxes ni...

0

Kuna Vile Uber Itarevise Prices Mpya

Madere wa Uber walidemonstrate against reduction ya charges kutoka Kshs 60 per kilometre hadi Kshs 35 per kilometre, bila consultations. Kenya Digital Taxi Association chairman Emmanuel Kasina alisema hiyo change itacut their return on...

0

Drivers Wa Uber Wanastrike Leo

Drivers wa uber karibu thao tatu, walisema watakosa kuingia job leo in protest of ile 35 percent rate cut iliannounciwa na company last week. Hawa madere wanathreaten kutoka Uber na kujoin rivals wake kama...

0

Uber Wameslash Charges Zake By Karibu Half

Uber Wameslash Charges Zake By Karibu Half Uber wameslash charges in Nairobi by karibu half sababu ya competition kutoka local rivals. Hii ni kitu poa sana, na itafanya market ikuwe open for choice. Hizi...