Category: Art

0

Graffiti Ni A Form Of Expression

Tangu siku za Hieroglyphs huko Egypt unaeza sema, graffiti imekua inatumiwa na binadamu kuji express. Siku hizi kuna graffiti artistes wengi wa noma sana. Wengi wao hutumia Spray paint, airbrush na pia paintbrush kuchora. Although...

0

Mystic

Mystic iliingia rodi sato tarehe 4-04-2015 after kuspend 7 days kwa garage where ili employ 10 youths wakiwa; madesigner, mechanics, watu wa lights na wa kuinstall music na seats, na pia watu wa bumpers....

0

Octave Band Wakiperform ili Go-down

Octave Band walilaunch their musical journey which iliconsist of eight heads, hawa ni mayouth walidecide kuweka drugs and crime kando na kufocus on the live music performance. Octave wamejiweka mara kadhaa in public in...