Category: Art

0

Display Ya Portrait Artist Na Tattooist

  Tuliget kupatana na artist wa kuchora ma portrait na tattoos jana na tukacheki kazi yake. Artist mwenyewe anitwa Bush na Jina ya biz yake inaitwa Bushido Arts. Rare talent kama hii ni hard...

0

Spoken Word – The Epidemic

Spoken Word – The Epidemic Gitegi Kimotho amebonga vitrue kwa hii spoken word about rape.Hii piece inaitwa The Epidemic. Hii ni kitu positive sana huu msanii ameweza ongea kuhusu. Cheki video fake hapa kwa...

0

Paragasha Nyeri

Paragasha Nyeri inahappen August 13th, Nyeri, Outspan. Main act itakuwa Anto Neosoul, atakuwa supported na Dj Kay V, Dj Presley, Yfiti, Sanii Band, Kariuki Mistari, na Mc Shida. Event itaanza from 10am. Charges ni...

0

Arts Zimechora Youth wengi Job

Nairobi City inajulikana sana sababu ya mathre za nguvu. Mayouth wengi wamefanya hii ikakuwa possible, sababu bila hao, haingekuwa hivyo. Mathree za area mingi zio na artworks noma sana. Kuanzia digna za Ronga, Buru,...

0

Fashion N Style iko on Hii Friday

Hii event inaexpect kuattract 200 – 300 guests. Itamark 3rd fashion edition. Event theme  ni Fashion with an aim. Kama unapenda fashion basi lazima uattend hii event.Ata sii lazima ukue into fashion hii event pia...