Author: street news team

0

Final Standings Za English Premier League

After game za mwisho kwa English Premier League, Chelsea walikuwa crowned champions wa tournament. Season yenyewe ilikuwa na ma upset na pia competition yenyewe ilikuwa juu sana. Both team zilikuwa top four zilikuwa zinafight...

0

Real Madrid – Champions Wa La Liga

Real Madrid wamekuwa crowned kama champions wa Spanish La Liga after kushinda rivals wao Barcelona na three points. Real Madrid wamewin Primera Division for a record 33rd time. Walikuwa crowned on Sunday after kuchapa...

0

Display Ya Portrait Artist Na Tattooist

  Tuliget kupatana na artist wa kuchora ma portrait na tattoos jana na tukacheki kazi yake. Artist mwenyewe anitwa Bush na Jina ya biz yake inaitwa Bushido Arts. Rare talent kama hii ni hard...

0

Rebirth Ya Chiwawa

Chiwawa amecome through na EP inaitwa The Rebirth. Amerelease single moja ya hiyo EP inaitwa To The Left. Tulibonga na yeye na akatushow anamaalizia hiyo project na anatoa video ya ngoma yenyewe soon. Alitushow...