Author: street news team

0

Octave Band Wakiperform ili Go-down

Octave Band walilaunch their musical journey which iliconsist of eight heads, hawa ni mayouth walidecide kuweka drugs and crime kando na kufocus on the live music performance. Octave wamejiweka mara kadhaa in public in...

0

Fimbo Ya Grandpa Imechapa 10 Years

Grandpa Records walihold 10th anniversary yao kabla tuvuke mwaka 2015. Event ilikua pale Sarakasi Dome Ngara. Turn up ya watu ilikua poa sana na watu walikua entertained fully. Kitu ile ilifanya ikawa memorable ni...

0

Lorry Za Takataka Kuspoil Kwa Road

Kuna vile hewa safi inakuanga ndio kila mtu utaka area yake ikue nayo. Occasionally utapata dinga za kubeba garbage zikipita area yenyu kunakuanga na a very foul stench. Na vile utanotice hizi ma truck...

0

City Stadium Stage

Kwa wakenya wengi wale wanatumianga jogoo road kuenda shughuli zao za daily wanajua poa sana “Stadi” ni wapi. Hii stage iko na activities nyingi sana za the common business men. From kitambo sana residents...

0

Comeback Ya Chiwawa

Chiwawa ni artist alichange game ya hiphop Kenya. Tulimeet na ye na akatusho plans zake za 2015 na vile sai anafeel. Chiwawa ako na double album amekua akirecord kwa mastudio kadhaa. Anasema anataka kurelease...

0

Ras Kwenye Hustle

Ras ako situated apo Ksouth market, na biz yak ni ya kumake ma vitu za kirasta, anashona ma kiatu za madesign different, na pia anamake ma necklace, pia ma ornaments kadhaa.  Wateja wake ni...

0

Kutoka Jaba Hadi Mathree Mbili

Ndech ako sao apo opposite flowers pub, amefanya biz mob na tangu aanze biz ya jaba ameget profits mwenda mbaka amebuy mathree mbili route 36 za Dandora na sacco ni East Shuttle.Ndech anapoa area...

0

Game Za Calif “Desa”

Calif ni area moja imeshikana na eastleigh na iko na grao moja famous sana ile ma youth wanatumia kukeep fit. Hii grao imekua imekua famous sababu ya ma TV adverts kibao zimefanyiwa hapo. Hapa...

0

5 scholarships that don’t demand a GPA that is fantastic This acquired;t come as stunning news: Not having a terrific GPA can disqualify you if you; re levels are significantly less than stellar. Blend...