Street News Kenya

0

Manchester United Wameshinda Europa League

Manchester United walichapa Ajax 2-0 kushinda Europa League on Wednesday. Man U walipata bao zao kupitia Paul Pogba na Henrikh Mkhitaryan. Hii inamean pia wamesecure Champions League spot. Performance ya Man U in general...

0

Generation Ya Codeine “Purple Drank ama Lean”

Generation Ya Codeine “Purple Drank ama Lean“ Mayouth wamekuwa wakitumia Codeine kama alternative ya kuget high recently. Codeine inatumika kutreat pain kama cough medicine but mayouth wana abuse. Wanaweza get hii drug kwa chemist...

0

Final Standings Za English Premier League

After game za mwisho kwa English Premier League, Chelsea walikuwa crowned champions wa tournament. Season yenyewe ilikuwa na ma upset na pia competition yenyewe ilikuwa juu sana. Both team zilikuwa top four zilikuwa zinafight...

0

Real Madrid – Champions Wa La Liga

Real Madrid wamekuwa crowned kama champions wa Spanish La Liga after kushinda rivals wao Barcelona na three points. Real Madrid wamewin Primera Division for a record 33rd time. Walikuwa crowned on Sunday after kuchapa...