Street News Kenya

0

La Liga Fixtures – Kenyan Time

Saturday, September 23, 2017 Atletico Madrid vs Sevilla 2:00 PM Deportivo Alaves vs Real Madrid 5:15 PM Malaga vs Athletic Bilbao 7:30 PM Girona vs Barcelona 9:45 PM Sunday, September 24, 2017 Espanyol vs...

0

Progress Ya Outering Road

Hapa ni junction ya kuingia Outering Estate na road ya kuelekea Umoja. After Outering Road kukarabatiwa, hivi ndio vile inakaa siku hizi. Hapa ni place ilikuwa inaitwa bridge, place haukuwa unaweza tembea matime zingine....

0

MBONA NLICHOREA BANGI (PT. 3)

Sikua nimetoa ata moshi mbili za high grade, lakini zilikua zimeshika tu ki’design. Kustukia kumbe ni wale makarao wa msituni, ma-AP uhandle zile ngori sisi huskia tu kwa news za waSamburu. Brathe/siste nilikua nime’sweat...